Friday, December 7, 2012

MKUU WA MKOA WA RUKWA AANZA ZIARA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea maelezo ya shamba darasa kutoka Afisa Ugani Kata ya Matanga Ndugu Edith Shirima leo alipoanza ziara yake Mkoani Rukwa kwa kuanzia katika kata hiyo. Kulia ni Afisa kilimo Manispaa ya Sumbawanga Ndugu George Lupilya, Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Sumbawanga. Kushoto ni Katibu wa Mkuu huyo Mkoa Frank Mateni.

 

 

 Shamba darasa katika kata ya Matanga kijiji cha matanga linalomilikiwa na Mkulima mdogo Bibi Paschalia Ntinda. Mbolea ya kupandia iliyotumika ni Minjingu Mazao. 

 

 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akisalimiana na Bibi Paschalia Ntinda amabaye ni mmiliki wa shamba darasa hilo. 

 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya kushoto akisalimiana na wananchi wakulima katika kata ya kasense leo alipoenda kukagua mashamba darasa katika kata hiyo. Kata ya Kasense ipo katika Manispaa ya Sumbawanga. 

 

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...