Friday, September 7, 2012



PINDA AHIMIZAUSHIRIKIANOBAINA YA WAEKEZAJI NA WAKULIMA  

Tanzania ni moja kati ya nchi barani afrika iliyopiga hatua katika uzalishaji wa shughuli za kilimo ikiwa na lengo la kuzuiz njaa kwa wananchi wake  lakini pia kujiongezea kipata kwa wakulima mmoja mmoja kwa malengo ya kuboresha uchumi na kipato cha mkulima lakini pia kuboresha uchumi wa taifa hili.

 

malengo ya serikali katika shughuli za kilimo ni pamoja na kukuza pato la taifa kutokana na kubalikiwa ardhi yenye lutuba lakini pia mvua za hapa na pale lakini malengo hayo yanaonekana kutozaaa matunda ipasvyo kutokana  changamoto zinazowakabili wakulima hapa nchini iwepo ile mbegu bora lakini dhana za kisasa za kulimia.

Kwa mujibu wa takwimu mbalimbali ziliwai kufanyika nchini imebainika kuwa wakulima walio wengi nchini bado ni maskini kutokana  na kilimo dhana za kilimo wanazotumia ikiwepo jembe la mkono huku walio wengi wakishindwa kumudu gharama za kununua  power tila .

Changamoto zingine zinazosababisha wakulima kuendelea kuwa maskini nchini ni pamoja nakukosa elimu ya ya kilimo ya kisasa jambo ni kwako kikubwa kwao.

Kwa kulifahamu hilo motto wa mkulima mh ambaye ni waziri mkuu wa jamhuuri ya muungano wa tanzania mh mizengo kayanza peter panda  anaweka bayana baadhi ya vikwazo zinavyasababisha wakula nchini kushindwa kipa hatua moja hadi nyine.

Kumekuwepo na malalamiko pamoja na migogoro ardhi kwa  miaka mingi kati ya wananchi na wawekezaji  mbalimbali kitendo ambacho kimekuwa kikiwakera wananchi walio wengi wenye kipato cha chini 

Kilimo ni huti wa mgogo maneno haya alikuwa akiyatumia na hayati  baba wa taifa ili mwalimu Julius kambalage nyerere enzi za uhai wake lakini kwa sasa kaulimbiu iliyotawala ni katika kila kona ya pembe ya tanzania ni kilimo kwanza .

Asilimia 95 ya watanzania wanategemea shughuli za kilimo katika kuendesha maisha yao lakini pia kukuza uchumi wa nchini ni vyema serikali ikatoa elimu kwa wakulima nchini ili kuweza kuongeza kasi ya uzalishaji wa katika shughuli za kilimo.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...