Tuesday, December 4, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA MWANZO LINDI VIJIJINI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati), Jaji Kiongozi Fakhi Jundu (kushoto), Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (wa tatu kulia) na mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo lilijengwa kwa nguvu za wananchi na wafadhili katika kata ya Rondo, jimbo la Mtama, Lindi vijijini jana.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Kiongozi Fakhi Jundu wakikagua jengo jipya la mahakama ya Mwanzo lililojengwa kwa nguvu ya wananchi na wafadhili mbalimbali katika kata ya Rondo, jimbo la Mtama, Lindi vijijini jana.

(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...