Sunday, December 9, 2012

MAGOLI YA KUJIFUNGA YABAKISHA TAJI LA 13 LA CHALENJI UGANDA... TANZANIA BARA YAISHIA YA NNE... BOCCO, NGASSA WENYE MABAO MATANO WANYIMWA TUZO YA UFUNGAJI BORA, APEWA SSENTONGO MWENYE MAGOLI MANNE

Mshambuliaji wa Uganda, Robert Ssentongo (mbele) akimfungisha tela mchezaji wa Kenya wakati wa mechi yao ya fainali ya Kombe la Chalenji kwwenye Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala

Patashika katika mechi ya fainali leo baina ya Uganda na Kenya kwenye Uwanja wa Mandela Kampala. Uganda ilishinda 2-1.

 Kocha wa Zanzibar Heroes, Salum Nassoro Bausi, ambaye tayari alishatangaza kujiuzulu baada ya timu hiyo kutolewa kwenye hatua ya nusu fainali, akibebwa juu na wachezaji wake baada ya kushinda kwa penalti 6-5 dhidi ya Tanzania Bara leo. Dakika 90 za mechi hiyo ziliisha ka sare ya 1-1.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...