Monday, September 10, 2012


       RAIS  JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA CHUO KIPYA CHA KIJESHI.(JWTZ)

 




Rais jakaya kikwete amezindua chuo cha kitaifa cha kijeshi dhima kubwa ikiwa ni kuwapa  uwezo wa kitaaluma  wanajeshi kuendenda na sayansi na teknolojia katika jukumu lao kubwa la ulindaji wan chi na raia wake 

miongoni mwa masomo watakayojifinza wanafunzi waliojiunga na chuo hicho kipya  ni pamoja na somo la ulinzi  huku lengo la kuanzishwa kwa chuo hicho cha kimataifa ni kulinda nchi katika suala zima la ulinzi na usalama 

Naye mkurugenzi mkuu katika chuo hicho bwana CHARLES Makakala baada ya kupongeza kwa kufunguliwa rasmi kwa chuo hicho ameongeza chuo hicho knapokea wanafunzi kutoka  idara tofauti na kuorodhesha makundi  mbalimbali waliojiunga na chuo hicho.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...