Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo
Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya
kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa
Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa
akitoka kupata huduma ya Mtandao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimsikiliza Padri Joseph Monesmo
Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akitoa maelezo
jinsi alivyopata mkasa wa kutiwa Tindikali jana na
watu wasiojulikanwa,katika mtaa wa Mlandege Mjini Unguja, alipofika
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,ambapo amelazwa na
kuapatiwa matibabu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwafariji jamaa na ndugu wa Padri
Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia
ya Machui,waliofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole Padri
huyo baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasiojulikanwa jana jioni Mtaa
wa Mlandege Mjni
Mmoja wa Ngugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa
la Romani Katoliki Parokia ya Machui,akimueleza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,hisia zake kwa
Uchungu kutokana na kitendo hicho cha kumwagiwa Tindikali na watu wasiojulikanwa
kwamba zilichukuliwe hatua za kisheria na kukomeshwa Vitendo kama
hivyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifafanua jambo wakati akiwafariji jamaa na ndugu wa Padri Joseph Monesmo Magamba,wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui,waliofika kumuangalia Padri huyo aliyelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kumwagiwa Tindikali na Watu wasijulikanwa jana jioni katika Mtaa wa Mlandege Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment