Thursday, August 29, 2013
WAZIRI FENELLA AKUTANA NA BONDIA FRANCOIS BOTHA (WHITE BUFFALO)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akielezea kufurahiswa kwake na ukuaji wa mchezo wa ngumi hapa nchini alipokutana na Bondia maarufu duniani na aliyewahi kuwa bingwa wa dunia mara mbili Francois Botha (White Buffalo) kushoto jana jijini Dar es Salaa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AddThis
No comments:
Post a Comment