Gari
aina ya Toyota Hiace lenye namba T 771 AQD mali ya Shule ya Sekondari ya
Scolastica ambalo lilipata ajali Desemba 10 eneo la kona ya Mto Kikavu iliyopo
Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanajro na kuuwa watumishi watano wa shule hiyo baada
ya kugongana na lori. (Picha: Rodrick Mushi)
|
No comments:
Post a Comment