UAMSHO ZANZIBAR WARUDISHWA TENA RUMANDE
Hatua hiyo imekuja punde tu baada ya mawakili wa viongozi wa kundi hilo kutangaza nia ya kujitoa kwao katika kesi hiyo kwa kile walichokiita kuwa ni usumbufu wanaofaofanyiwa wateja wao ikiwa nipamoja na kupelekwa mahakama ya kwerekwe bila ya muda muafaka.
SHEIKH FARID HAD AHMED AKIWA NA VIONGOZI WENZAKE WA KUNDI HILO,WOTE WAKITUHUMIWA KWA MAKOSA YA KUHARIBU MALI YENYE THAMANI YA MILIONI 50 PAMOJA NA |
No comments:
Post a Comment