Wednesday, October 24, 2012

ARUSHA.

MAKAMU WA RAIS  DKT. BILAL AFANYA UFUNGUZI WA MKUTANO WA VYUO  VIKUU AFRIKA MASHARIKI.

 

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AKIHUTUBIA WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO HUO.

Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki

Aidha mkutano huo pia unaoshirikisha kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki lengo likiwa ni kuangalia maendeleo ya elimu inayotolewa na  vyuo vya ukanda huo pamoja kutathimini ubora wake


MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASHIRIKI WA MKUTANO HUO

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AKISIKILIZA MAELEZO KUTOKA KWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA MTAKATIFU AUGUSTINE, DKT. CHARLES KITIMA, WAKATI ALIPOKUWA AKITEMBELEA KUKAGUA MABANDA YA MAONYESHO BAADA YA KUFUNGUA MKUTANO HUO

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...