TANZANIA YAELEZEA HATUA ZAKE KATIKA KUYAFIKA MALENGO YA MILENIA (MDG)
Sereikali ya tazania imeeleza kupata mafanikio makubwa
katika kuyafikia malengo ya millennia (MDG) hasa katika elimu ya msingi
Hayo yameelezwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa
kimataifa mh. Bernard Membe (mb) wakati
akitoa taarifa yake katika kikao cha 67 cha baraza kuu la umojsa wa
mataifa mjini New York Marekani.
Katika mkutano huo Mh. Membe amesema nchi ya Tanzania imepiga hatua kubwa hasa katika suala la usawa wa jinsia ,uwezeshaji wa wanawake katika Nyanja tofauti lakini pia kupambana na dhidi ya marazi ya HIV /UKIMWI ,Malaria na maradhi mengine.
No comments:
Post a Comment