MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU AJINYONGA MKOANI MBEYA.
MWILI WA KELVINI PATRICK UKIWA UMEFUNIKWA MARA BAADA YA KUKUTWA KUJINYONGA |
Ni siku chache tu zimepita tangu nitoe habari inayohusiana na hii
ile ikimuhusu kijana wa chuo kikuu cha Dar es salaam aliyeamua kukatisha uhai wake kutokana na kugundulika kuwa anaishi
na virusi vya ukimwi ,pasipo kufikiri angeliweza kuendesha maisha yake akiwa katika hali hiyo.
Safari hii kijana mdogo wa darasa la tatu katika shule ya msingi Iwambi jijini Mbeya jinsia
mwanaume kwa ,jina la Kelvin Patrick (8) amejinyonga kwa kutumia kamba
ya kiatu akiwa nyumbani kwake.
BAADHI YA MAJIRANI WAKIMSHIKILIA MAMA MZAZI WA MAREHEMU KELVIN PATRICK |
Hata hivyo chanzo cha kujingonga kwake bado hakijaweza kufahamika kwa mara moja
BAADHI YA MAJIRARANI WALIOJITOKEZA KUTAZAMA TUKIO HILO |
.picture source-the hood info tainment
No comments:
Post a Comment