Idadi kubwa ya
wanafunzi waliokuwa wamekosea kujazafomu zao za maombi ya mikopo ya eilimu ya
juu ,wameendelea kujitokeza katika makao makuu ya bodi ya mikopo nchini kwa ajili ya kuendelea kufanya marekebisho Bodi ya mikopo ilitoa muda wa siku kumi na nne ambazo zinamalizika tarehe 30 ya mwezi augost mwaka huu kwa wanafunzi wote ambao fomu zao za mikopo zilionekana kuwa na kasoro kwa kutosainiwa au kukosa vitambulisho muhimu ikiwa ni pamoja na za vyeti vya kuzaliwa na taaluma Majina ya watu zaidi ya 6,000 yameonekana kuwa na kasoro na yamewekwa kwenye tovuti ya bodi ya mikopo nchini. |
Wednesday, August 28, 2013
IDADI KUBWA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU WAENDELEA KUFANYA MAREKEBISHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment