Wednesday, September 5, 2012





MWILI WA KARDINALI WA KWANZA BARANI AFRIKA KUZIKWA UPYA KAGEERA


Kanisa katoliki jimbo la bukoba wanajiandaa wanajiandaa kuzika upya  masalia ya mwili wa aliyekuwa askofu na cardinal wa kwanza barani Afrika  Laurean Rugambwa aliyefariki mwaka 1967 katika jimbo la Bukoba 

Maziko ya kardinali huyo yamepangwa kufanyika mwezi octoba 6 mwaka huu kufuatia kanisa aliloagizwa kuzikwa kiongozi huyo kuwa ksatika matengenezo.
mwadhama Kardinal Laurean Rugambwa
 Kwa mujibu wa aksofu mkuu msaidizi jimbo la bukoba Methodius Kilaini amese,a wanataka kumzika cardinal huyo  kwa heshima kutokana na kuaminika kwake 

Kabla ya kuzikwa kutakuwa na ibada  mbalimbali ikiwa sehemu alikozaliwa  na kubatizwa ambapo sherehe zitaambatana na kusheherekea miaka 100 ya kuzaliwa kwa karidinali Rugambwa tarehe 7 ya mwezi octoba

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...