WAISLAM TANZANIA WAANDAMANA KUIPINGA FILAMU INAYOMKASHFU MUTME WAO ILIYOTENGENEZWA NCHINI MAREKANI
Jumuia na taasisi za kiislam Tanzania wameendamana siku ya
ijumaa na kutoa tamko la waislam nchini
dhidi ya Marekani kuruhusu kutolewa filam inayoukashifu mtume muhamad
|
Jumuiya ya waislam kwa pamoja nchini Tanzania wakipinga filamu ya {Innocence of muslims} inayomkashifu mtume muhamad,maandamano kama haya yanaendelea pia katika mataifa mbalimbali ulimwenguni |
|
maaandamano haya yamefanyika siku ya ijumaaa mara baada ya kumalizika kwa swala ya ijumaa.
|
No comments:
Post a Comment