Friday, August 23, 2013

KUAPISHWA KWA MUGABE KUWA RAIS WA ZIMBABWE



Rais, Robert Gabriel Mugabe,  jana kwa mara ya saba katika historia ya nchi hiyo, alikula kiapo cha kuongoza Zimbabwe kwa nusu muongo ujao.

Shughuli za kuapishwa zilifanyika kwenye Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare, Agosti 22, 2013 na kuhudhuriwa na wawakilishi wa mataifa mbalimbali kutoka barani Afrika.

Zifuatazo ni baadhi tu ya picha kutoka IKULU ya Tanzania, za kumbukumbu ya tukio hilo.

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akimpongeza Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe katika sherehe hizo za kuapishwa



Rais Robert Mugabe akililakiapo kwa rara ya saba mfululizo kama rais wa Zimbabwe.





Video ya Rais Kikwete alivyopokelewa na watanzania wanaoishi nchini Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...