Thursday, August 22, 2013

DK SLAA KATIKA MIKUTANO YA MABARAZA HURU YA RASIMU YA KATIBA MPYA MKOANI DODOMA


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa akihutubia mamia ya wanachama na wananchi wa Gairo, mkoani Dodoma.

 
Dk. Slaa akihutubia Mpwapwa mkoani Dodoma wakati akiendesha Mabaraza Huru ya Rasimu ya Katiba Mpya.

Wananchi wakimsilikiza Dk. Slaa wakati akiendesha Mabaraza Huru ya Rasimu ya Katiba Mpya, Gairo mkoani Dodoma.
 (Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano Chadema)



No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...