Sunday, December 23, 2012

JOYCE MARO WA TANZANIA, AIBUKA KIDEDEA NDIYE MISS EAST AFRICA 2012

Mrembo wa Afrika Mashariki,2012 (Tanzania) Joselyne Maro (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Ayisha Nagudi (Uganda kushoto) na wa tatu Ariella Kwizera (Burundi kulia),baada ya kutangazwa washindi katika shindano lao lililofanyika usiku wa kuamkia leokatika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. 

Hawa ndiyo warembo waliofanikiwa kutinga hatua ya Tano Bora ya shindano hilo.

Hawa ndiyo warembo waliofanikiwakutinga hatua ya 10 bora ya shindano hilo.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...