Sunday, December 23, 2012

GODBLESS LEMA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA JIJINI ARUSHA


MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi, Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.

Mapokezi yahoo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa akirejea mjini Arusha akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani ya Keshi yake ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge wake Desemba 21,2012

Maelfu ya wananchi wakiwa katika msafara mrefu zaidi ya pikipiki 500 na magari ulianzia Uwanja wa Ndege KIA mara baada ya Mbunge huyo kuwasili uwanjanai hapo majira ya saa 4:20 Asubuhi.

Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.

Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.

Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema

Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.

Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.

Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...