RAIS WA ZANZIBARI NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT ALI
MOHAMED SHEIN AWAHAPISHA MAKATIBU WAKUU WAPYA .
|
RAIS
WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT ALI MOHAMED SHAIN KUSHOTO AKIBADILISHIANA MAWAZO NA MAKAMU WA KWAZA WA RAIS MAALIM SEIF SHARIF HAMAD NA MAKAMU WA PILI WA ZANZIBAR BALOZI SEIF AL IDDI | |
|
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT ALI MOHAMED SHEIN AKIMWAPISHA DKT JUMA MALIK AKILI KUWA KATIBU MKUU WZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU VISIWANI ZANZIBAR.
| | | |
|
|
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA
BARAZA LA MAPINDUZI DKT ALI MOHAMED SHAIN AKIMWAPISHA NDG ALI KHALIL
MIRZA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI ,MAKAAZI MAJI NA
NISHATI.
| | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | |
|
|
No comments:
Post a Comment