HATIMAYE KIONGOZI WA
KIKUNDI CHA UAMSHO ZANZIBAR SHEIKH FARID HAD APATIKANA BAADA YA KUTOWESHWA
KUSIKOJULIKANA KWA MUDA WA TAKRIBANI SIKU TANO NA KUPELEKEA GHASIA VISIWANI
HUMO
MAANDAMANO YA TAKRIBANI JUMA MOJA YAMECHANGIA GHASIA KUBWA VISIWANI ZANZIBAR
NAKUSABABISHA MALI KUHARIBIWA PAMOJA NA
WAFUASI WA KIONGOZI HUYO KUTIWA NGUVUNI NA POLISI
KIONGOZI WA KUNDI LA UAMSHO SHEIKH FARIDI HADI AKIWA NYUMBANI KWAKE |
Sauti ya sheikh Farid Had mara baada ya kupatikana.
No comments:
Post a Comment