Monday, December 10, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU YAFANYIKA JIJINI DAR

Mgeni Rasmi wa kilele cha Maadhimisho ya Haki za Binadamu na Kupambana na Kuzuia rushwa, Mhe. Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mifumo ya Habari na Mawasiliano ya Kompyuta, Bw. Wilfred Warioba katika Banda la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhusu kazi za Tume na Mfumo mpya wa kuwasilisha malalamiko mbele ya Tume kwa kutumia ujumbe wa simu ya Kiganjani katika viwanja vya Mnazi Mmoja mapema leo.

 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Jaji kiongozi (mstaafu) Amiri R. Manento akihutubia siku ya Haki za Binadamu na Kuzuia na kupambana na Rushwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja mapema leo.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...