KITENDAWILI CHA NANI ATAKAYEKUWA MSHINDI WA EPIQ BSS 2012 CHA
TEGULIWA
Matarajio ya watanzania wengi walijua Wababa atashinda katika
Bongo epiq,baada ya kushangili sana na watanzania kwa kipindi kirefu,lakini
mambo yalikuja kubadilika baada ya Wolte kung'ara dakika za mwisho na kujizolea
mashabiki wengi na hatimaye kuchukua ushindi,huku nafasi ya pili ikichukuliwa
na Salma na tatu kuchukuliwa na Wababa,safari ya Walter katika mashindano haya
imekua ya kushangaza kidogo kwa sababu ameonyesha uwezo wa hali ya juu dakika
za mwisho na kukamata milion 50, Hongera sana brother.
Wolter akiwapungia mkono mashabiki wake kuonyesha ishara ya kuwashukuru |
No comments:
Post a Comment