HISTORIA YARAIS WA SYRIA BASHAR AL ASSAD
bashar al assad rais wa syria |
Bashar Hafez al-Assad rais wa Syria alizaliwa tarehe 11ya mwezi Septemba mwaka 1965,
katika miji wa Dameski nchini
SYRIA
Baba
yake, Hafez al-Assad, alizaliwa katika familia maskini na ndie aliyefanikiwa kufufua tawi la
chama cha kiarabu cha ujamaa Ba'ath
nchini syria ambapo baada ya mapinduzi ya mwaka 1970 alianza kuiongoza kama rais wa nchi hiyo
Ufanisi na umakini wa Hafez al-Assad katika historia ya syria kama kiongozi ndio uliompajina la Simba katika
mataifa ya kiarabu .
Bashar al-Assad
alipata elimu yake ya msingi na sekondari katika shule yenye mchipuo wa lugha za Kiarabu-Kifaransa ya al-Hurriya
katika mji wa Damascus
mwaka
1982, alihitimu shule ya
sekondari na kwenda kusoma mafunzo ya ufamasia na matibabu katika Chuo Kikuu. . cha Damascus .
Mwaka 1988, Bashar al Assad alihitimu
kozi hiyo na kuanza kufanya kazi kama daktari katika hospitali ya jeshiya , "Tishrin", iliyoko
nje kidogo ya mji wa Dameski.
Miaka
minne baadaye,
alikwenda Uingereza kuanza mafunzo yake shahada ya uzamili kitengo
cha Ophthalmology katika Hospitali ya western
Eye sehemu ya kundi
la hospitali za kufundishia za St Mary katika jiji la London
Bashar al
assad wakati huo alikuwa
hana matarajio makubwa yakuwa mwanasiasa ambapo kaka
yake , Bassel al-Assad , alitarajiwa kama rais wa baadaye, lakini kamwe hakutangaza dhamira hiyo
1994
Rais Bashar, alihitisha kikao cha na jeshi baaada ya kifo cha kushtukiza cha kaka yake Bassel wa kilichosababishwa na ajali ya
gari
Muda mfupi
baadae baada ya kifo cha Bassel, Hafez
Assa baba wa rais wa Syria alimtangaza
Bashar Al Assad kama mrithi wa wazi wa Utawala wake .
Rais Bashar Assad aliandaliwa
utaratibu maalumu wa kutambulishwa uliokuwa katika awamu tatu kwanza alimpeleka
jeshini na pili picha yake ilitambulishwa kwa Umma na tatu alikaimumadaraka
kama kiongozi wa syria baada ya kifo cha baba yake mwaka 2000.
Baada ya
kifo cha baba yake, mwaka 2000, Bashar aliteuliwa kiongozi wa chama cha Ba'ath na Jeshi, na alichaguliwa kuwa rais bila kupingwa katika bunge la
nchgi hiyo kwa kupata asilimia (97.2% ya kura),
Sambamba na kazi
yake ya kijeshi, Bashar alikuwa kushiriki katika masuala ya umma. Alipewa
mamlaka kubwa kama mshauri wa kisiasa kwa Rais Hafez al-Assad,
mkuu wa ofisi ya kupokea malalamiko ya rufaa ya wananchi, na pia aliongoza
kampeni dhidi ya rushwa.
Tarehe 27 Mei 2007, Bashar kupitishwa kama rais kwa kipindi kingine cha miaka saba, pamoja na matokeo rasmi ya 97.6% ya kura katika kura ya maoni bila ya mgombea mwingine [28]
.
Kisiasa
na kiuchumi, maisha ya watu wa Syria yamebadilika kidogo tangu mwaka 2000.
Katika
mahusiano ya nje rais wa Syria bashal al AL Assad amekuwa na mhusiano ya karibu
na mataifa ya China na Urusi kutokana na uekezaji mkubwa wa mafuta ndani y\a
nchi yake lakini pia uhusiano mdogo na
uliotetereka kwa jumuiya ya nchi za kiarabu na mataifa ya Magharibi.
Kufuatia upepo wa mabadiliko katika mataifa ya kiarabu ulioazia Tunisia ,Serikali ya rais Bashar AL ASSAD haikusalimika maandamano nchini Syria yalianza tarehe 26 Januari 2011
Kufuatia upepo wa mabadiliko katika mataifa ya kiarabu ulioazia Tunisia ,Serikali ya rais Bashar AL ASSAD haikusalimika maandamano nchini Syria yalianza tarehe 26 Januari 2011
.
Waandamanaji wito
wa mageuzi ya kisiasa na wakitaka kuerjeshwa kwa haki za kiraia, pamoja na kuondolewa kwa
sheria ya hali ya hatari ambayo imedumu tangu mwaka 1963
No comments:
Post a Comment