Wednesday, November 28, 2012

DAR ES SALAAM.



MAZISHI YA SHARO MILIONEA ,KING MAJUTO AZIDIWA

Jeneza  lenye  mwili wa Sharo Milionea  likitolewa


Shekh akiombea  mwili  wa jeneza  leye mwili wa Sharo Milionea

 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele


wili wa Sharo Milionea  ulipohifadhiwa

 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga

Mamia ya  wakazi  wa mkoa  wa Tanga pamoja na  wasanii wa  kundi la Bongo Movie   leo  wameshiriki  kikamilifu katika mazishi ya msanii Sharo Milione yaliyofanyika  wilayani Muheza mkoani Tanga  umbali wa takribani kilometa 2 kutoka nyumbani  kwa msanii  huyo huku  vurugu  za hapa na pale  zikitokea  wakati wa kuanga mwili  huo
 
Imedaiwa  kuwa   umati  mkubwa  wa  wananchi  wamepata  kujitokeza kwa wingi  kuaga mwili  wa msanii  huyo  huku  baadhi  wakigombea  kuaga mwili  huo .

Miongoni  mwa  viongozi  wa  vyama  vya  siasa  waliofika  ni pamoja na  Nappe Nauye ,Mukama  huku  upande wa wasanii wakiwa ni   kundi la Bongo Movie ni pamoja na Ray , Kitale na  wengine 


WASANII WAMLILIA SHARO MILIONEA KWA WIMBO – KAZA MOYO


 Video ya kumuenzi marehemu HUSSEIN a.k.a Sharo Milionea huu wimbo umeimbwa na Shetta, Dayna Nyange, shilole mohamed, Cannal Top, Rich Mavoko, Shadoo, Amazon, Barnabas Elias, Stamina, Dan rock, Suma Mnazaleti, Eric Mlindima, Muba c, Seif


BONGO ALL STARS together we canAudio producer ni C9Kanjenje 
Video directed by Msafiri under KWETU studio
R.I.P Sharo Milionea tutakukumbuka daima milele 

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...