Kampeni za CCM za Udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga, Oktoba 27, 2012 (picha: Bashir-Nkoromo blog) |
Chama cha Mapinduzi
kimefanikiwa kuibwaga CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa Udiwani uliofanyika
katika Kata ya Bugarama wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Habari zilizopatikana zimesema, katika uchaguzi huo ulifanyika leo CCM imepata kura 1145 CHADEMA: 772 na TADEA: 156 wagombea wakiwa Nixon Igoko (CCM) Erasmus Francis (CHADEMA) na Clement Michael (TADEA)

No comments:
Post a Comment