Sekretarieti hii mpya ya CCM imetangazwa mjini Dodoma, na
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete baada ya uteuzi wake kuidhinishwa na
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kilichokutana kwa mara ya kwanza mjini
Dodoma. tangu uchaguzi mkuu wa CCM ufanyike.
No comments:
Post a Comment