Tuesday, November 13, 2012


MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CCM NEC ,MWENYEKITI ,MAKAMU,WAJUMBE. 
MWENYEKITI WA CCM TAIFA JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA NA MKE WAKE MAMA SALMA KIKWETE ,WAKATI WA KUHITIMISHA MKUTANO WA CCM DODOMA.

Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti  wa CCM kwa kura  2395 kati ya 2937 zilizopigwa  ambazo ni sawa na asilimia 99.92%

Akitangaza matokeo hayo Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ndiye alikuwa msimamizi, Anne Makinda alisema kwamba Mwenyekiti  alipata ushindi wa kura 2,395 kati ya kura 2,937 zilizopigwa, kura mbili zilisema hapana.

Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt. Ali Shein alipata kura 2,397 wakati makamu kwa upande wa Bara ndugu Phillip Mangula naye alipita kwa asilimia miam moja.

Wajumbe 20 wa viti vya Bara na Zanzibar ni kama ifuatavyo:

Nafasi kumi za NEC Zanzibar:


Nafasi kumi za NEC Tanzania Bara:

1
Samia Suluhu Hassan - 1,525
Wassira Stephen - 2,135
2
Mohammed Seif Khatib - 1,668
January Makamba - 2,093
3
Khadija Hassan Aboud - 1,625
Mwigulu Nchemba – 2,012
4
Khamis Mbeto - 1,233
Shigella Martine - 1,824
5
Abdulhakim Cosmas Chasamma - 1,248
Lukuvi William - 1,805
6
Bhawanji Misuria Mshamba - 1,406
Membe Bernard - 1,455
7
Omar Yussuf - 1,485
Mathayo David - 1,414
8
Mbarawa Mnyaa - 1,850
Msome Jackson - 1,207
9
Dkt. Hussein Mwinyi - 1,579
Mukama Wilson - 1,374
10
Shamsi Vuai Nahodha - 1,603
Mukangara Fenella – 984
.

No comments:

Post a Comment

AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...