MAMA WA MTOTO ALIYETOLEA HAJA NDOGO KATIKA KITABU KITUKUFU CHA
CHA QURAN AOMBA RADHI.
Mama wa kijana aliyekojolea kitabu kitukufu cha Quran na kusababisha tafrani kubwa hapa nchini hatimaye amejitikeza na kuomba radhi i kwa
kitendo hicho na kusema hakikupaswa
kufanywa na jamii yoyote ulimwenguni.
Katika mahojiano maalumu
aliyofanya na gazeti moja siku ya jumamosi bi Teresia Josephat amesema hakuwa kutegemea kama kitendo hicho
kingelifanywa na mwanae Emmanuel Josephat (14
kwa
kuwa hakumkuza katika malezi aina hiyo
Wiki mbili zilizopita ,katika
mabishano ya rika kati ya kijana huyo na wenzake yalimfanya kijana huyo kukidhihaki kitabu
kiutufu cha kuruani kwa marai kwamba
angelifanywa hivyo angeweza kugeuka
mnyama
Kitendo ambacho kilisababisha
mlolongo ghasia kati ya vijana wa
kiislamu na polisi na kukupelekea kuharibiwa kwa mali pamoja na uchomaji wa
makanisa katika eneo la Mbagala jijini dar es salaam
No comments:
Post a Comment