WAISLAMU
DUNIANI WASHEREHEKEA EID EL-HAJ
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo |
WAISLAMU KOTE DUNIANI
WANAADHIMISHA SIKU KUU YA EID EL-HAJI LEO.
SHEREHE HIZI ZINAFUATIA KUMALIZIKA KWA IBADA
YA HIJA BAADA YA KUMALIZIKA ZOEZI HILO NCHJINI SAUDI ARABIA MAKAO MAKUU
YA DINI YA KIISLAMU.
HIJA NI NGUZO YA MWISHO KATI
YA NGUZO TANO ZA KIISLAMU NA KILA MUISLAMU MWENYE UWEZO ANATAKIWA KUHIJI
ALAU MARA MOJA KATIKA MAISHA YAKE.
No comments:
Post a Comment