Showing posts with label MARO. Show all posts
Showing posts with label MARO. Show all posts

Thursday, April 5, 2012

ARUSHA

HATIMAYE MAHAKAMA KUU KANDA YA ARUSHA YAMVUA UBUNGE MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA

Godbless Lema avuliwa ubunge

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo imemvua ubunge aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema.

Muda mfupi baada ya uamuzi huo, Lema amedai kuwa, uamuzi huo ulipangwa.

Kwa mujibu wa Lema, Jaji ametoa uamuzi huo kwa amri ya Serikali.

Lema amesema, atazungumza na viongozi wa Chadema ili wajue nini cha kufanya na kuwaeleza wananchi wafanye nini.

Amedai kuwa, kwa kuwa Mahakama imekandamiza haki, na  wananchi wataipata haki hiyo kwa nguvu ya umma

 


AddThis

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...